Ousmane Dembele akishangilia na mchezaji mwenzake, Luis Suarez baada ya kutokea benchi zikiwa zimesalia dakika 10 na kuifungia bao la kusawazisha timu hiyo dakika ya 90 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Atletico Madrid jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, kufuatia Diego Costa kuanza kufunga dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment