• HABARI MPYA

  Wednesday, November 28, 2018

  BALE AFUNGA REAL MADRID YAICHAPA AS ROMA 2-0 ITALIA

  Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 47 kabla ya Lucas Vazquez kufunga la pili dakika ya 59 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya AS Roma usiku wa jana Uwanja wa Olimpico mjini Roma kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya.
  Kwa matokeo hayo, Real Madrid inamaliza na pointi 12, ikifuatiwa na Roma yenye pointi tisa na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora zikizipiku Viktoria Plzen na CSKA Moskva zilizomaliza na pointi nne kila moja  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALE AFUNGA REAL MADRID YAICHAPA AS ROMA 2-0 ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top