• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 21, 2018

  ICARDI NA DYBALA WOTE WAFUNGA ARGENTINA WAICHAPA 2-0 MEXICO

  Mauro Icardi akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Argentina dakika ya pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mexico jana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mexico Uwanja wa Malvinas Argentinas mjini Mendoza, bao la pili likifungwa na Paulo Dybala dakika ya 87 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ICARDI NA DYBALA WOTE WAFUNGA ARGENTINA WAICHAPA 2-0 MEXICO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top