• HABARI MPYA

  Saturday, November 17, 2018

  UHOLANZI YAICHAPA 2-0 UFARANSA NA KITUPA NJE UJERUMANI LIGI YA ULAYA

  Memphis Depay akishangilia baada ya kuifungia Uolanzi bao la pili kwa penalti dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Feyernoord mjini Rotterdam katika mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa Ulaya. Bao la kwanza la Uholanzi lilifungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 44 na kwa matokeo hayo, Ujerumani inashushwa daraja katika kundi hilo, huku kikosi cha Ronald Koeman kikitofautiana kwa pointi moja tu sasa na vinara, Ufaransa huku ikiwa imebakiza mechi moja 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UHOLANZI YAICHAPA 2-0 UFARANSA NA KITUPA NJE UJERUMANI LIGI YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top