• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 21, 2018

  ITALIA YAIPIGA MAREKANI 1-0 MECHI YA KIRAFIKI ILIYOPIGWA GENK JANA

  Beki wa Juventus, Leonardo Bonucci (katikati) akiruka na mguu juu kuwania mpira dhidi ya wachezaji wa Marekani katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk.  Italia ilishinda 1-0 bao pekee la Matteo Politano dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ITALIA YAIPIGA MAREKANI 1-0 MECHI YA KIRAFIKI ILIYOPIGWA GENK JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top