• HABARI MPYA

  Sunday, November 18, 2018

  BILA RONALDO, URENO YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MATAIFA ULAYA

  Wachezaji wa Ureno, Rui Patricio na Jose Fonte wakishangilia baada ya sare ya 0-0 na Italia kwenye mchezo wa kundi la tatu Ligi ya Mataifa Ulaya ambao ilimkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo usiku wa jana uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan, hivyo kufuzu nusu fainali ya michuano hiyo, ikifikisha pointi saba baada ya kucheza mechi tatu, ikifuatiwa na Italia pointi tano na Poland pointi moja 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BILA RONALDO, URENO YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MATAIFA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top