• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 29, 2018

  HATUA YA AWALI MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUPIGWA KATI YA DESEMBA 3 NA 5 MWAKA HUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  HATUA ya awali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)ASFC inatarajia kuchezwa kati ya Desemba 3na 5, mwaka.
  Hatua hiyo ya awali itashirikisha timu 36, Raundi ya Kwanza itachezwa kati ya Disemba 8-9,2018 ikishirikisha timu 32.
  Timu 40 zitashiriki katika raundi ya Pili itakayochezwa kati ya Disemba 14-16, 2018 na Bingwa mtetezi wa mashindano hayo ni timu ya Mtibwa Sugar ambayo ilicheza Fainali na timu ya Singida United kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HATUA YA AWALI MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUPIGWA KATI YA DESEMBA 3 NA 5 MWAKA HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top