• HABARI MPYA

  Thursday, November 29, 2018

  SPURS YAITWANGA INTER MILAN 1-0 NA KUFUFUA MATUMAINI YA 16 BORA

  Christian Eriksen akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspuer bao pekee dakika ya 80 ikiichapa Inter Milan 1-0 katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London.
  Ushindi huo unaifanya Spurs ifikishe pointi saba sawa na Inter Milan na zote zikiwa nyuma ya Barcelona yenye pointi 13 na mbele ya PSV yenye pointi moja katika Kundi B kuelekea mechi za mwisho wiki ijayo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAITWANGA INTER MILAN 1-0 NA KUFUFUA MATUMAINI YA 16 BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top