• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 30, 2018

  GIROUD APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 4-0 EUROPA LEAGUE

  Mshambuliaji wa Chelsea, Olivier Giroud akimtoka beki wa PAOK, Yevhen Khacheridi anayelala chini kucheza rafu iliyomponza kutolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa Kundi L Europa League usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London.
  Chelsea ilishinda 4-0, Giroud akifunga mabao mawili dakika za 27na 37 na mengine Callum Hudson-Odoi dakika ya 60 na Alvaro Morata dakika ya 78 na kwa ushindi huo The Blues wanafikisha pointi 15 na kusonga mbele kama vinara wa kundi, wakifuatiwa na BATE na Vidi zenye pointi sita kila moja, wakati PAOK ina pointi tatu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GIROUD APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 4-0 EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top