• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 19, 2018

  MENDEZ AFUNGA BAO PEKEE HISPANIA YAICHAPA BOSNIA-HERZEGOVINA 1-0

  Kiungo wa Celta Vigo, Brias Mendez (kushoto) akipongezwa na mchezaji mwenzake, Isco wa Real Madrid baada ya kuifungia Hispania bao pekee dakika ya 78 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Bosnia & Herzegovina kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Gran Canaria mjini Las Palmas 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MENDEZ AFUNGA BAO PEKEE HISPANIA YAICHAPA BOSNIA-HERZEGOVINA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top