• HABARI MPYA

        Wednesday, November 21, 2018

        URENO YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA POLAND LIGI YA MATAIFA YA ULAYA

        Kiungo wa Ureno, Rafael Alexandre 'Rafa' akimpiga tobo Bartosz Bereszynski wa Poland huku mchezaji mwenzake, Przemyslaw Frankowski akishuhudia katika mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya jana Uwanja wa Dom Afonso Henriques mjini Guimaraes timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Andre Silva alianza kuifungia Ureno dakika ya 33 akimalizia pasi ya Renato Sanches, kabla ya Arkadiusz Milik kuisawazishia Poland kwa penalti dakika 
        66 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: URENO YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA POLAND LIGI YA MATAIFA YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry