• HABARI MPYA

  Wednesday, November 28, 2018

  RONALDO AMSETIA MANDZUKIC KUIFUNGIA JUVE IKISHINDA 1-0

  Cristiano Ronaldo wa Juventus (kulia) akimtoka kiungo Mdenmark wa Valencia, Daniel Wass katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. 
  Juventus ilishinda 1-0, bao pekee la Mario Mandzukic akimalizia pasi ya Ronaldo dakika ya 59 na kwa matokeo hayo inamaliza kileleni mwa Kundi H kwa pointi zake 12, ikifuatiwa na Manchester United iliyomaliza na pointi 10 na zote zinakwenda hatua ya 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AMSETIA MANDZUKIC KUIFUNGIA JUVE IKISHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top