• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 19, 2018

  SEFEROVIC APIGA HAT TRICK USWISI YAICHAPA 5-2 UBELGIJI

  Mshambuliaji wa Benfica, Haris Seferovic akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Uswisi hat-trick katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Ubelgiji jana Uwanja wa Swissporarena mjini Luzern kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya.  Seferovic alifunga dakika za 31, 44 na 84, wakati mabao mengine ya Uswisi yamefungwa na Ricardo Rodriguez kwa penalti dakika ya 26 na Nico Elvedi dakika ya 62, wakati mabao ya Ubelgiji yamefungwa na Thorgan Hazard yote dakika za pili na 17 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SEFEROVIC APIGA HAT TRICK USWISI YAICHAPA 5-2 UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top