• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 21, 2018

  BRAZIL YAICHAPA CAMEROON 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI

  Mshambuliaji wa Everton, Richarlison akiwa juu kuifungia Brazil bao pekee dakika ya 45 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Cameroon kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Milton Keynes mjini Buckinghamshire, England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BRAZIL YAICHAPA CAMEROON 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top