• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 26, 2018

  MAN UNITED WAJIANDAA KUWANIA 16 BORA LIGI YA MABINGWA

  Wachezaji wa Manchester United wakiwa mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kesho dhidi ya Young Boys Uwanja wa Old Trafford. Man United wanatakiwa kushinda na Valencia wafungwe na Juventus ili kwenda hatua ya 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAJIANDAA KUWANIA 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top