Mwanasoka Bora wa Dunia, Luka Modric wa Croatia (kushoto) akizuiwa asiende kugombana na wachezaji wa Hispania katika mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa ya Ulaya jana Uwanja wa Maksimir mjini Zagreb. Croatia ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Andrej Kramaric dakika ya 54 na Tin Jedvaj mawili dakika za 69 na 90 na ushei, wakati ya Hispani yalifungwa na Dani Ceballos dakika ya 56 na Nahodha, Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment