• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 30, 2018

  BEKI MUIVORY COAST, ZANA COULIBALY OUMAR ALIPOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA LEO TAYARI KUSAJILIWA SIMBA SC

  Daktari bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), George Longopa akimfanyia vipimo vya afya ya moyo (ECHO Cardiogram) beki Coulibaly Zana Oumar kutoka Ivory Coast kuelekea kukamilisha usajili wake Simba SC
  Coulibaly Zana Oumar akiwa na muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) 
  Dk. George Longopa akiangalia majibu ya vipimo vya afya Coulibaly Zana Oumar  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI MUIVORY COAST, ZANA COULIBALY OUMAR ALIPOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA LEO TAYARI KUSAJILIWA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top