Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 67 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya 76 na Roberto Firmino dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment