• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 21, 2018

  SANCHEZ AFUNGA CHILE YAIBAMIZA 4-1 HONDURAS MECHI YA KIRAFIKI

  Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile bao la tatu dakika ya 61 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Honduras usiku wa jana Uwanja wa Manispaaa ya Bicentenario German Becker mjini Temuco. Mabao mengine ya Chile yalifungwa na Arturo Vidal dakika ya nane na 35 kwa penalti na Nicolas Castillo kwa penalti pia dakika ya 84, wakati la Honduras lilifungwa na Alexander Lopez dakika ya 40 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHEZ AFUNGA CHILE YAIBAMIZA 4-1 HONDURAS MECHI YA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top