Bondia Muingereza Tyson Fury akionyesha mwili wake ulivyopungua na kujengeka vizuri baada ya mazoezi makali na kupunguza kula kuelekea pambano lake la ngumi za kulipwa uzito wa juu dhidi ya Mmarekani, Deontay Wilder Desemba 1, mwaka huu ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Snapchat predator jailed for child sex offences
-
Kasey Fitton, 20, is sentenced at Bradford Crown Court and jailed for more
than seven years.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment