• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 25, 2018

  HIKI NDICHO KIKOSI CHA UBINGWA MTIBWA SUGAR LIGI KUU 1999

  Kikosi cha Mtibwa Sugar, mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwaka 1999; Kutoka kushoto waliosimama Godfrey Kikumbikizi, Geoffrey Magoli, Steven Nemes, Monja Liseki na John Mabula. Waliochuchumaa kutoka kulia Rajab Msuoma, Kassim Mwabuda, Ramadhan Hamza ‘Kidilu’, Kamba Luffo, Mecky Maxime na  (mbele), Salhina Mjengwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HIKI NDICHO KIKOSI CHA UBINGWA MTIBWA SUGAR LIGI KUU 1999 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top