• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 18, 2018

  ZAMOYONI MOGELLA ENZI ZAKE YANGA SC ALIKUWA MOTO KAMA HIVI

  Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Zamoyoni Kondo Mogella aliyevuma kwa majina ya utani ya Golden Boy na DHL akimtoka beki wa Small Simba ya Zanzibar katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1992 Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Small Simba ilishinda 2-1
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ZAMOYONI MOGELLA ENZI ZAKE YANGA SC ALIKUWA MOTO KAMA HIVI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top