• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 28, 2018

  FELLAINI AIPELEKA MAN UNITED 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Marouane Fellaini (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 90 na ushei ikiilaza Young Boys 1-0 katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford, Manchester.
  Ushindi huo unaifanya Man United kumaliza na pointi na kushika nafasi ya pili kwenye Kundi H, nyuma ya Juventus iliyomaliza na pointi 12 baada ya kuifunga Valencia 1-0 pia jana mjini Turin na zote zinakwenda hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FELLAINI AIPELEKA MAN UNITED 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top