• HABARI MPYA

  Saturday, November 24, 2018

  BAO LA LUKAKU LAKATALIWA MAN UNITED YATOA SARE 0-0 NA PALACE

  Mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku akiifungia timu hiyo bao ambalo hata hivyo lilikataliwa kwa sababu alikuwa amezidi katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Crystal Palace uliomalizika kwa sare ya 0-0 leo Uwanja wa Old Trafford 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAO LA LUKAKU LAKATALIWA MAN UNITED YATOA SARE 0-0 NA PALACE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top