FUNDI JONAS MKUDE AKINYOOSHA MSULI MAZOEZINI SIMBA SC JANA IKIJIANDAA KUIVAA LIPULI KESHO
Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude akinyoosha msuli jana kupiga shuti wakati wa mazoezi ya Simba SC jana jioni Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Lipuli FC ya Iringa kesho Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment