Olivier Giroud (kulia) akiifungia Chelsea bao pekee dakika ya 52 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, BATE kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League Uwanja wa Belarus Arena mjini Belarus jana, hilo likiwa bao lake la kwanza katika miezi mitano na kuipeleka The Blues hatua ya 32 Bora ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
5 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment