Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kufungwa 4-3 na Real Betis katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Camo Nou. Mabao ya Real Betis yamefungwa na 20' Junior Firpo dakika ya 20, Joaquin dakika ya 34, Giovani. Lo Celso dakika ya 71 na 83' Canales dakika ya 83, wakati ya Barcelona yamefungwa na Messi mawili, moja kwa penalti dakika ya 68 na lingine dakika ya 90 na ushei na Arturo Vidal dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chaos outside Madison Square Garden as thousands of NBA fans struggle to
get past metal detectors and police barricades ahead of Trump's arrival
-
Thousands of fans were stuck outside of Madison Square Garden ahead of the
President's arrival before the New York Knicks played San Antonio Spurs.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment