Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawazisha dakika ya 89 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Sevilla Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla usiku wa Jumamosi baada ya kuingia dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Ousmane Dembele. Sevilla walitangulia kwa mabao ya Franco Vazquez dakika ya 36 na Luis Muriel dakika ya 50, kabla ya Luis Suarez kuifungia Barca dakika ya 88 na Messi dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment