Robert Lewandowski akishangilia baada ya kufunga mabao matatu Bayern Munich dakika za tano, 44 na 87 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Borussia Dortmund leo kwenye mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao mengine ya Bayern Munich yamefungwa na James Rodriguez dakika ya 14, Thomas Muller dakika ya 23 na Franck Ribery dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment