JOHN MWANSASU ALIKUWA BEKI ANAYEJUA KUKABA ENZI ZAKE
Beki wa Yanga, John Mwansasu (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa ASEC Mimosa, Abou Dominique katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 1998 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam. ASEC ilishinda 3-0
0 comments:
Post a Comment