Fernando Torres akiwa chini baada ya kuingia uwanjani jana kuchukua nafasi ya Diego Costa, timu yao Atletico Madrid ikifungwa 1-0 na wenyeji, Sporting Lisbon, bao pekee la Fredy Montero dakika ya 28 Uwanja wa Jose Alvalade mjini Lisbon, Ureno katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali UEFA Europa League na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa wa 2-1 kufuatia kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani, Hispania. Atletico inaungana na Arsenal iliyoitoa CSKA Moscow, Salzburg iliyoitoa Lazio na Olympique Marseille iliyoitoa RB Leipzig PICHA ZAIDI GONGA HAPA
OPP officer dead after crash on Highway 401 in Cobourg: police
-
COBOURG — Sgt. Brandon Malcolm was a young and respected police officer
whose life was "taken far too soon" while on duty in a highway crash east
of Toront...
59 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment