Dimitri Payet akishangilia baada ya kuifungia bao zuri Olympique Marseille dakika ya 60 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya RB Leipzig ya Ujerumani usiku wa Alhamisi kwenye mchezo wa marudiano wa UEFA Europa League Uwanja wa Velodrome mjini Marseille, Ufaransa na kwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-3 baada ya kufungwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
9 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment