Neymar akiruka juu kushangilia baada ya kufunga hat trick ya kwanza Ufaransa tangu ajiunge na Paris Saint-Germain kwa dau la rekodi ya dunia, Pauni Milioni 198 kutoka Barcelona kufuatia jana kufunga mabao manne dakika za 42, 57, 73 na 83 kwa penalti katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Dijon kwenye mchezo wa Ligue 1 Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Angel Di Maria mawili dakika za nne na 15, Edinson Cavani dakika ya 21 na Kylian Mbappe dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Stand and deliver!' - Brook turns tables with 15-ball blitz
-
Captain Harry Brook produces yet another memorable white-ball innings,
hammering 39 off 15 balls to help England recover from 1-2 and chase down
191 to bea...
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment