Luis Suarez (kushoto) na Lionel Messi (kulia) wakifurahi baada ya wote kufunga mabao manne katika ushindi wa 5-0 wa Barcelona wa 5-0 dhidi ya Real Betis usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla kwenye mchezo wa La Liga. Messi alifunga dakika za 64 na 80 na Suarez dakika za 69 na 89 baada ya Ivan Rakitic kufunga la kwanza dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment