• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 23, 2018

  MAZISHI YA ISMAIL SUMA YALIVYOKUWA NCHINI BURUNDI LEO

  Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Ismail Suma (picha ndogo juu kulia), kipa wa zamani wa kimataifa wa Tanzania aliyedakia klabu mbalimbali zikiwemo Simba na Yanga ukipelekwa makaburini kwa mazishi mjini Bujumbura, Burundi leo 
  Waumini wa Kiislamu na jamaa wakiwa mbele ya kaburi tayari kumhifadhi marehemu Suma katika nyumba yake ya milele  
  Hili ndilo kaburi ambalo amezikwa Ismail Suma aliyekuwa anacheza soka Burundi 
  Hapa mwili wa Ismail Suma ukifanyiwa sala  
  Jeneza la marehemu likipakiwa katika gari kwa safari ya makaburini
  Jamaa wakiwa wamelishikilia jeneza la marehemu Ismail Suma kwenye gari
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAZISHI YA ISMAIL SUMA YALIVYOKUWA NCHINI BURUNDI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top