• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 29, 2018

  SIMBA SC NA MAJI MAJI KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Mshambuliaji Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi akiwarukia wachezaji wa Maji Maji kuwahi mpira katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0 
  Nahodha na mshambuliaji wa Simba, John Bocco akimiliki mpira mbele ya beki wa Maji Maji jana
  John Bocco akiifungia Simba bao la kwanza kwa kichwa jana 
  Beki wa Maji Maji, Kennedy Kipepe akimrukia mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi mguu wa shingo 
  Winga machachari wa Simba, Shiza Kichuya akiwakimbia wachezaji wa Maji Maji 
  Beki wa Simba, Mghana Asante Kwasi (kulia) akipiga chenga ili kumpita beki wa Maji Maji Lucas Kikoti jana 
  Beki wa Simba Shomary Kapombe akipanda na mpira katika mchezo wa jana
  Kocha mpya wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre (kushoto) na wasaidizi wake, kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mtunisia Mohamed Aymen Hbibi (katikati) aliyekuja naye na Mrundi, Masoud Juma (kulia) aliyemkuta
  Kikosi cha Maji Maji kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
  Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA MAJI MAJI KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top