• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 31, 2018

  KOCHA MAYANGA KWA RAHA ZAKE NA WAZUNGU WAKE

  Kocha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga (kulia) akifurahia na rafiki zake wa kigeni Jumamosi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam wakati wa mchezo kati ya Azam FC na Yanga. Yanga ilishinda 2-1
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MAYANGA KWA RAHA ZAKE NA WAZUNGU WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top