• HABARI MPYA

        Wednesday, January 24, 2018

        MASCHERANO AMWAGA MACHOZI WAKATI WA KUAGWA BARCELONA

        Javier Mascherano akijifuta machozi wakati wa hafla ya kuagwa katika klabu yake, Barcelona aliyojiunga nayo mwaka 2010 na kushinda nayo mataji 18 na sasa anahamia China PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MASCHERANO AMWAGA MACHOZI WAKATI WA KUAGWA BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry