• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 28, 2018

  AZAM FC NA YANGA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa akiruka juu kuokoa kwa kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam 
  Beki wa Yanga, Kevin Yondan akiruka juu kuokoa kwa kichwa dhidi ya mshambuiliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi
  Nahodha wa Yanga, Kevin Yondan 'akianua' jana huku Hassan Kessy akiwa tayari kutoa msaada
  Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Azam FC
  Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Yakubu Mohammed
  Beki wa Yanga, Hassan Kessy akimlamba chenga kiungo wa Azam FC, Joseph Mahundi 
  Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimtoka kiungo wa Azam FC, Himid Mao aliyechezeshwa kama beki jana 
  Kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akiondoka na mpira dhidi ya mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf 
  Kikosi cha Azam FC kabla ya mchezo wa jana
  Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC NA YANGA KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top