Beki wa Mwadui FC, David Luhende (kulia) akimdhibiti kiungo wa Yanga, Said Mussa 'Ronaldo' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam timu hizo zikitika sare ya 0-0
Kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' (kushoto) akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Mwaduo FC, Paul Nonga (kulia)
David Luhende akipanda na mpira dhidi ya kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib akitafuta maariga ha kupigta katikati ya wachezaji wa Mwadui
Beki wa Mwadui FC, Iddy Mobby akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe
Beki wa Yanga, Hassan Kessy akimpita mchezaji wa Mwadui FC
Kiungo wa Mwadui FC, Abdallah Seseme akipambana na Emmanuel Martin wa Yangaa aliyelala chini kuondoa mpira
Kiungo wa Yanga, Pius Buswita (kushoto) akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Mwadui FC
Kikosi cha Mwadui FC kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Yang SC kabla ya mchezo wa jana
Athletics: World Indoor Championships
-
Live coverage from day two of the 2025 World Indoor Athletics Championships.
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment