Kelechi Iheanacho akishangilia na mchezaji mwenzake, Demarai Gray baada ya kufunga mabao mawili dakika za 12 na 29 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, Peterborough kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA leo Uwanja wa ABAX mjini Peterborough. Mabao mengine ya Leicester City yamefungwa na Fousseni Diabate mawili pia dakika za tisa na 87 na Wilfred Ndidi dakika ya 90 na ushei na Peterborough limefungwa la Andrew Hughes PICHA ZAIDI GONGA HAPA
17-year-old Andreeva wins Indian Wells title
-
17-year-old Mirra Andreeva shocks world number one Aryna Sabalenka 2-6 6-4
6-3 to win the Indian Wells title.
45 minutes ago
0 comments:
Post a Comment