Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann akisikitika baada ya kupoteza nafasi ya kufunga usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan wakifungwa 3-1 na wenyeji Sevilla katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Mfalme na kutolewa kwa jumla ya mabao 5-2 kufuatia kufungwa pia 2-1 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani kwao. Mabao ya Sevilla yalifungwa na Sergio Escudero dakika ya kwanza, Ever Banega dakika ya 48 na Pablo Sarabia dakika ya 79, wakati la Atletico lilifungwa na Griezmann dakika ya 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Billy Sharp: Fan jailed for headbutting player at end of match
-
Sheffield United captain Billy Sharp was assaulted at the end of their
match with Nottingham Forest.
Dakika 11 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni