• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 26, 2018

  SUAREZ AFUNGA BAO TAMU BARCELONA YAENDA NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME

  Luis Suarez akijipinda kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya tisa katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Bao la pili lilifungwa na Lionel Messi dakika ya 25 katika mchezo huo ambao mchezaji mpya aliyesajiliwa kutioka Liverpool, Philippe Coutinho alicheza kwa mara ya kwanza baada ya kuingia kutokea benchi kuchukua nafasi ya Iniesta dakika ya 68.
  Barca inakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya kufungwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ AFUNGA BAO TAMU BARCELONA YAENDA NUSU FAINALI KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top