• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 29, 2018

  LUIS SUAREZ AWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LA LIGA

  Beki wa zamani wa Barcelona, Eric Abidal akimkabidhi mshambuliaji wa timu hiyo, Luis Suarez tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa La Liga jana kabla ya mchezo dhidi ya Deportivo Alaves ambao wenyeji walishinda 2-1 jana Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LUIS SUAREZ AWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top