Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Salvatory Edward (kushoto) akiwa na Nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Liberia, Lone Stars, George Weah kabla ta mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika baina ya timu hizo Julai 28 mwaka 1997 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Leo ikiwa ni miaka 20 baadaye, Weah ni rais wa Liberia.
Littler's van window smashed during match
-
The world champion darts player calls the vandals "scum of the earth".
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment