Kocha wa Yanga, Mzambia George Lwandamina (wa tatu kutoka kulia) akifuatilia kwa makini mchezo wa timu yake dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Yanga ilishinda 1-0 na leo kwa mara ya tatu Lwandamina hakuwa benchi kwa sababu ya kibali cha kufanyia kazi nchini.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment