• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 26, 2018

  SAFARI YA MWISHO YA JUMANNE NTAMBI ALIYEKUWA KOCHA WA MWADUI

  Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Jumanne Ntambi, aliyekuwa kocha Msaidizi wa Mwadui FC ya Singida likifikishwa makaburini mjini Moshi leo tayari kwa mazishi yake. Ntambi alifariki Jumanne Mwadui kufuatia kuanguka bafuni wakati anaoga ingawa alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu.    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAFARI YA MWISHO YA JUMANNE NTAMBI ALIYEKUWA KOCHA WA MWADUI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top