Mshambuliaji Mbelgiji wa Chelsea, Michy Batshuayi akinyoosha vidole juu kushangilia baada ya kuifungia The Blues mabao mawili dakika za 31 na 44 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Marcos Alonso dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The FIFA World Cup trophy lands in Kenya
-
The FIFA World Cup Trophy tour ahead of the men's World Cup 2022 in Qatar
arrives in Kenya, today for a two-day tour. The Trophy lands at the JKIA
today an...
Dakika 34 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni