Jay Rodriguez akifurahia baada ya kuifungia West Bromwich Albion mabao mawili dakika za saba na 11 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, LIverpool kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England Uwanja wa Anfield usiku wa Jumamosi. Bao lingone la West Brom limefungwa na Joel Matip aliyejifunga dakika ya 47, wakati mabao ya Liverpool yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya tano na Mohamed Salah dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment