• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 24, 2018

  MAKOCHA WAPYA SIMBA WALIVYOANZA KAZI LEO TANDIKA

  Kocha mpya wa Simba SC, Mfaransa Pierre Lechantre (kulia) akiwa na Msaidizi wake, Mtunisia, Mohamed Hbibi kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili kwenye mazoezi ya timu hiyo Uwanja wa Chuo cha Bandari, Tandika mjini Dar es Salaam leo.
  Mfaransa Pierre Lechantre (katikati) akizungumza na Msaidizi wake, Mrundi Masoud Juma huku kocha wa makipa, Muharami Mohammed 'Shilton' akisikiliza 
  Pierre Lechantre (katikati) akizungumza na Kocha wa makipa, Muharami Mohammed 'Shilton'
  Kocha mpya wa Simba SC, Mfaransa Pierre Lechantre (kulia) akiwa na Msaidizi wake, Mtunisia, Mohamed Hbibi kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili kwenye mazoezi ya timu hiyo Uwanja wa Chuo cha Bandari, Tandika mjini Dar es Salaam leo.
  Pierre Lechantre na Mohamed Hbibi wakifuatilia mazoezi ya timu hiyo leo
  Wachezaji wa Simba wakijifua leo Uwanja wa Bandari, Dar es Salaam 
  Wachezaji wa Simba wakijifua leo Uwanja wa Bandari, Dar es Salaam 
  Mshambuliaji tegemeo wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi akiwa mazoezini leo 
  Beki wa pembeni wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAKOCHA WAPYA SIMBA WALIVYOANZA KAZI LEO TANDIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top